Kukodisha kwanza halafu kumiliki baadaye

Swali: Kuna mtu ambaye ana haja kubwa ya gari. Hakuna njia nyingine anaweza kuipa isipokuwa kwa njia ya kukodisha kwanza halafu yeye ataimiliki baadaye. Afanye hivo?

Jibu: Hapana. Haijuzu. Asubiri mpaka pale Allaah atapomsahilishia kununua gari. Vinginevyo apande teksi. Pindi Allaah atapomsahilishia ndio anunue gari.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdatul%20Fiqh%20-%2018%20-%201-%20-1436.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020