Swali: Inajuzu kuchelewesha kugawa mirathi kiasi cha kwamba baadhi ya warithi wakafa?
Jibu: Haijuzu kuchelewesha mirathi ikiwa warithi wataombwa igawanywe. Katika hali hii itakuwa haijuzu kuichelewesha isipokuwa kwa kuwepo udhuru wa Kishari´ah.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdatul%20Fiqh%20-%2018%20-%201-%20-1436.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Inajuzu kuchelewesha kugawa mirathi kiasi cha kwamba baadhi ya warithi wakafa?
Jibu: Haijuzu kuchelewesha mirathi ikiwa warithi wataombwa igawanywe. Katika hali hii itakuwa haijuzu kuichelewesha isipokuwa kwa kuwepo udhuru wa Kishari´ah.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdatul%20Fiqh%20-%2018%20-%201-%20-1436.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/katika-hali-hii-haijuzu-kuchelewesha-mirathi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)