Kuikaribisha Ramadhaan kwa kuandaa vyakula

Swali: Ni zipi nasaha zako kwa wanawake ambao wanaikaribisha Ramadhaan kwa kuandaa vyakula mbalimbali huku wanasahau matendo mema?

Jibu: Hakuna kasoro kwa wao kuandaa vyakula. Sambamba na hilo ni lazima kwao wasihisi uvivu ya kufanya ´ibaadah. Kuhusu kuandaa vyakula ni jambo lenye kuruhusiwa muda wa kuwa limesalimika kutokamana na ubadhirifu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/نصيحة-دعوية-للنساء-في-شهر-رمضان
  • Imechapishwa: 12/06/2022