Swali: Wakati naenda kwa mmoja katika jamaa zangu na ukafika wakati wa swalah huniletea mkeka wa kuswalia ambapo nikaswali hali ya kuchukizwa kwa sababu naona wadogo na wakubwa wanaswali juu yake, unawekwa juu ya ardhi na katika chumba hicho kunakuweko watoto. Je, swalah yangu imesihi au niirudie?

Jibu: Kimsingi ni kwamba mkeka ni msafi muda wa kuwa hujaona najisi kwa dhati yake. Ama dhana na wasiwasi havina haja.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/حكم-الصلاة-على-السجادة-التي-يصلي-عليها-الصغير-والكبير
  • Imechapishwa: 12/06/2022