Kinachobusiwa ni jiwe jeusi peke yake

Swali: Ni ipi hukumu ya kubusu chumba cha Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) au kupapasa milango?

Jibu: Hakuna kinachobusiwa isipokuwa jiwe jeusi. Ndio alichobusu Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Vyenginevyo havibusiwi katika majengo na mfano wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (104) https://www.alfawzan. af.org.sa/sites/default/files/13-03-1441%D9%87%D9%80~1_0.mp3
  • Imechapishwa: 26/12/2020