Kila mtu wa Bid´ah usimtolee salamu


Swali: Je, inajuzu kumtolea salamu mtu katika Jahmiyyah?

Jibu: Ukijua kuwa ni katika Jahmiyyah usimsalimie. Kila mtu wa Bid´ah ukijua kuwa ni mtu wa Bid´ah usimtolee salamu. Kadhalika usimsalimie, isipokuwa ikiwa ni kwa ajili ya kumlingania na kumnasihi. Ikiwa hakukubali, achana naye.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (63) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13810
  • Imechapishwa: 16/11/2014