Inajuzu mtu kuacha anausia kuzikwa sehemu maalum?

Swali: Inajuzu kwa mtu kuacha anausia kuzikwa sehemu maalum?

Jibu: Ndio, inajuzu kuacha anausia kuzikwa sehemu maalum ikiwa ni miongoni mwa sehemu zinazojuzu kuzikwa. Ikiwa ni sehemu isiyojuzu, kama mfano wa msikitini, haijuzu kutekeleza wasia wake.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/211-212)
  • Imechapishwa: 26/08/2021