Swali:  Hadiyth iliyothibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) inayoruhusu kusema uongo wakati wa kuleta suluhu kati ya watu wawili na mume kumdanganya mke wake. Je, makusudio ni uongo  wa waziwazi au ni uongo wa kupindishapindisha?

Jibu: Kinachokusudiwa ni yale yanayofanya kufikia natija nzuri na yenye faida. Katika hali hii inafaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/27-06-1438h.mp3
  • Imechapishwa: 16/07/2017