Hawezi Kulala Mpaka Asikilize Qur-aan

Swali: Kuna watu ambao hawawezi kupata usingizi isipokuwa mpaka wasikilize Qur-aan. Je, waweke Qur-aan kwa kuzingatia ya kwamba hakuna mwenye kuisikiliza baada ya kusinzia?

Jibu: Haina neno. Haina neno. Asikilize Qur-aan au muziki?

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%20-%2017-%2010-1436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017