Hakuna swalah ya ijumaa gerezani


580- Nilimuuliza baba yangu ni vipi wafungwa wataswali ijumaa gerezani. Akajibu:

”Rak´ah nne.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (2/410)
  • Imechapishwa: 29/01/2021