Swali: Ni ipi hukumu ya kuswaki wakati wa Khutbah ya ijumaa?

Jibu: Hapana, haijuzu. Haijuzu kufanya harakati wakati wa Khutbah ya ijumaa, ni mamoja ikiwa ni kwa kuswaki wala kitu kingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-5-9.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020