Bidhaa ya mpya kwa ya zamani pamoja na pesa ya ile tofauti

Swali: Baadhi ya maduka wanauza bidhaa zao kwa njia ya kuchukua bidhaa ya zamani ya mteja kisha mteja analipa pesa kidogo kutokana na ile tofauti. Je, inafaa?

Jibu: Haina neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (29)
  • Imechapishwa: 11/02/2022