Ada ya idara – upenyo na njama ya ribaa

Swali: Ambaye anataka kuchukua mkopo kutoka benki analazimika kulipa 2000 SAR ambayo wanaita kuwa ni “pesa ya idara”…

Jibu: Hii ni ribaa inayolipwa kabla na wanaita kuwa ni “ada ya idara” na majina mengine ya kuazima. Ambaye anawakopa pesa watu anatakiwa kufanya hivo kwa ajili ya Allaah na kuchukua kile alichokopa peke yake. Istilahi kama ada ya usimamizi ni upenyo na njama za ribaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (29)
  • Imechapishwa: 11/02/2022