Swali: Shaykh! Ulibadilisha chochote kuhusiana na Yahyaa al-Hajuuriy kutokana na uliyosema?
Jibu: Hapana, sikubadilisha kitu na similiki kubadilisha kitu. Bado naonelea niliyoyasema. Sisi tuko na dalili ya Bid´ah na upotevu aliyomo. Miongoni mwa hayo ni haya yafuatayo:
1 – Maswahabah walishiriki katika kumuua ´Uthmaan.
2 – Watu wa Badr walimuasi Allaah mara tatu.
3 – Irjaa´ ilipoanza ilikuwa ni kupitia kwa Maswahabah. Akatolea kisa cha Abu Bakr na ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa) kilichokuja katika Hadiyth.
Vilevile kuna mengine.
- Muhusika: Shaykh ´Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://subulsalam.com/site/audios/Rodod/14AqwalOlamaaFiya7yaAl7ajori.mp3
- Imechapishwa: 06/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket