Baadhi ya makosa ya Yahyaa al-Hajuuriy kwa Maswahabah

Swali: Shaykh! Ulibadilisha chochote kuhusiana na Yahyaa al-Hajuuriy kutokana na uliyosema?

Jibu: Hapana, sikubadilisha kitu na similiki kubadilisha kitu. Bado naonelea niliyoyasema. Sisi tuko na dalili ya Bid´ah na upotevu aliyomo. Miongoni mwa hayo ni haya yafuatayo:

1- Maswahabah walishiriki katika kumuua ´Uthmaan.

2- Watu wa Badr walimuasi Allaah mara tatu.

3- Irjaa´ ilipoanza ilikuwa ni kupitia kwa Maswahabah. Akatolea kisa cha Abu Bakr na ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa) kilichokuja katika Hadiyth.

Vilevile kuna mengine.

Check Also

Mwenye kusema hivi sio mwanachuoni

Swali: Je, inajuzu kutumia dalili kwa kauli miongoni mwa kauli za wanachuoni ya kwamba adhaana …