Amesafika siku moja ndani ya ada na nifasi yake

Swali: Mwanamke akiona kuwa amesafika kwa muda wa siku nzima ndani ya ada yake ya mwezi ikiwa ada yake ya kwa muda wa siku saba na akaona siku moja ndani ya siku hizi saba…

Jibu: Anatakiwa kuoga na kuswali. Vivyo hivyo wanawake wenye damu ya uzazi wakiona siku miongoni mwa siku kuwa wamesafika basi wanatakiwa kuoga na kuswali.

Swali: Ndani ya siku za ada yake?

Jibu: Ndio, ndani ya siku za ada yake na ndani ya damu ya uzazi wake. Zote hukumu yake ni moja.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21600/حكم-من-رات-الطهرا-يوما-كاملا-اثناء-عادتها
  • Imechapishwa: 27/08/2022