Swali: Je, inafaa kwa mtu ambaye yuko katika Ihraam kujifunika kwa blanketi au kitu kingine mfano wake kutokana na baridi kali?
Jibu: Ndio, ajifunike kwa blanketi haina neno. Hata hivyo asifunike kichwa chake. Afunike mwili wake kwa blanketi na kichwa akiache wazi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21601/حكم-التغطية-من-البرد-للمحرم
- Imechapishwa: 28/08/2022
Swali: Je, inafaa kwa mtu ambaye yuko katika Ihraam kujifunika kwa blanketi au kitu kingine mfano wake kutokana na baridi kali?
Jibu: Ndio, ajifunike kwa blanketi haina neno. Hata hivyo asifunike kichwa chake. Afunike mwili wake kwa blanketi na kichwa akiache wazi.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21601/حكم-التغطية-من-البرد-للمحرم
Imechapishwa: 28/08/2022
https://firqatunnajia.com/muhrim-kujifunika-mwili-kwa-sababu-ya-baridi-kali/