Amegundua kuwa imamu anaswali kikamilifu


Swali: Msafiri akiingia kwenye misikiti iliyo njiani na akajiunga na watu wenye kuswali. Akanuia kufupisha swalah lakini baada ya kuswali Rak´ah mbili akaona kuwa imamu anaswali kikamilifu. Afanye nini?

Jibu: Ni lazima kuswali kikamilifu na kumfuata imamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (12) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdah%20Fiqh-19-10-1434_0.mp3
  • Imechapishwa: 30/09/2017