Swali: Imethibiti miongoni mwa sifa za Allaah (Ta´ala) ya kwamba anatembea?

Jibu: Sifa iliyothibiti katika Qur-aan ni kwamba anakuja. Kuhusu kutembea sijui lolote kuhusiana na hii. Anakuja vile anavotaka. Atakuja siku ya Qiyaamah vile anavotaka. Hatuifasiri kuwa ni kutembea na kadhalika. Allaah ndiye anajua zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-23.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020