al-Fawzaan Kuswali Kwenye Mkeka Wa Kuswalia 3

Swali: Nyumbani tunaswali kwenye mkeka wa kuswalia pamoja na kuwa tunajua kuwa sakafu ni safi. Je, kitendo chetu hichi ni wasiwasi?

Jibu: Ndio, ikiwa mnaonelea kuwa ni jambo limewekwa katika Shari´ah. Na ikiwa mfanya hivo kwa sababu tu ya kulinda sakafu au kilichoko chini, ni sawa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%208%20-%2011%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017