Swali: Ni Bid´ah kusabihi kwa Subha?

Jibu: Ni alama ya Suufiyyah. Wao ndio wenye kutumia Subha. Vidole vinatosheleza kufanya Tasbiyh.

Swali: Baada ya kuhiji au kufanya ´Umrah inafaa kwangu kununua Subha kwa ajili ya familia yangu au ndugu zangu kama zawadi?

Jibhu: Hapana. Usinunue Subha. Hii ni alama ya Suufiyyah wanaonelea kuwa ina fadhilah. Badala yake nunua kitu kingine chenye faida.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%208%20-%2011%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017