Swali: Inajuzu kuitwa kwa jina la Abraar na Ibtihaal?

Jibu: Haya yatakuja huko mbele – in shaa Allaah. Kuna mjakazi alikuwa anaitwa Barra Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akabadilisha jina lake. Kwa kuwa huku ni kujisifu. Jina likiwa ndani yake na kujisifu inachukizwa kama itavyokuja huko mbeleni.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-5-11.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014