al-Fawzaan kuhusu kuitwa kwa majina ya Malaika

Swali: Je, inajuzu kuitwa kwa jina la Naaswir na kwa majina ya Malaika kama Jibriyl na Maalik?

Jibu: Ndio, inajuzu kuitwa kwa Naaswir. Hakuna neno. Nusuru yake inalingana na kiasi chake na sio mfano wa Nusura ya Allaah (´Azza wa Jalla). Inajuzu kuitwa kwa majina ya Malaika kama jibriyl. Kuna watu wengi leo ambao wanaitwa Jibriyl. Mnamjua Ibn Jibriyl? Inajuzu. Hakuna neno – in shaa Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Swali: Ambaye ni mjinga na akachinja kabla ya Swalah ya Idi na hakujua isipokuwa baada ya kutoka nje muda wa kuchinja ni lipi la wajibu juu yake? Jibu: Udhhiyah imempita. Ale nyama na amhimidi Allaah na haiwi Udhhiyah.
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-5-11.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014