al-Fawzaan Kkhusu mazishi ya asiyeswali      

Swali: Asiyeswali janeza lake linaswaliwa?

Jibu: Asiyeswali kwa kukusudia na anakanusha kuwa ni wajibu, huyu haswaliwi kwa makubaliano [ya pande zote mbili]. Ama asiyeswali kwa uvivu lakini anakubali kuwa ni wajibu, hapa wanachuoni wametofautiana. Yule mwenye kuonelea kuwa ni kafiri asimswalie.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (34) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-30.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020