11 – Musaddad ametuhadithia: Bishr bin al-Mufadhdhwal ametuhadithia: ´Abdur-Rahmaan bin Ishaaq ametuhadithia, kutoka kwa al-´Alaa’ bin ´Abdir-Rahmaan, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Abu Hurayrah, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
من صلى عليَّ مرة واحدة كتب الله له عشر حسنات
”Yule mwenye kuniswalia mara moja, basi Allaah atamwandikia mema kumi.”[1]
[1] Cheni ya wapokezi ni Swahiyh. Wanamme wake ni wanamme Swahiyh. Imekwishatangulia kupitia njia mbili zingine (8-9) kutoka kwa al-´Alaa´.
- Muhusika: Imaam Ismaa´iyl bin Ishaaq al-Maalikiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwl-us-Swalaah ´alaan-Nabiy, uk. 29
- Imechapishwa: 15/03/2023
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket