Swali: Wanafunzi hawa wanakupa pole juu ya mnasaba wa kuaga dunia kwa muheshimiwa Shaykh na ´Allaamah Zayd bin Haadiy al-Madkhaliy (Rahimahu Allaah).
Jibu: Alikuwa ni mwanachuoni na mwenye fadhilah na mwenye kujishughulisha na elimu. Alikuwa akitumia muda wake juu ya yale yenye kumnufaisha. Alikuwa diama ni mwenye kujishughulisha na elimu kwa njia ya kutunga na kufunza. Alikuwa ni miongoni mwa watu bora. Huo ndio ufahamu wetu juu yake na Allaah ndiye atakayemuhesabu. Allaah amsamehe na amrehemu na asitupe mtihani sisi baada yake.
- Muhusika: ´Allâmah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbâd
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=142881
- Imechapishwa: 15/01/2021
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)