Zawadi iliyokwishatolewa hairejeshwi

Swali: Alitoa zawadi kumpa fulani ilihali alikuwa amekusudia kumpa mwingine.

Jibu: Haifai kwake kurejesha zawadi. Isipokuwa baba kile anachompa mtoto wake.

Swali: Ampe mwingine?

Jibu: Hapana, haifai kwake kuirejesha. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kurejesha zawadi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23722/هل-يجوز-الرجوع-في-الاعطية
  • Imechapishwa: 12/04/2024