Zakaat-ul-Fitwr juu ya wazazi waliofariki

604- Nilimsikia Ahmad kwamba ´Atwaa´ alikuwa akitoa Zakaat-ul-Fitwr kwa niaba ya wazazi wake wawili. Nikamuuliza: “Unapendelea jambo hilo, ee Abu ´Abdillaah?” Akajibu:

“Ni jambo zuri akilifanya.”

  • Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 124
  • Imechapishwa: 20/03/2021