Swali: Kuna kima fulani cha pesa kimeingizwa katika biashara ambapo kukapatikana faida. Je, zakaah itatolewa juu ya ile rasilimali au ile faida?

Jibu: Faida. Faida ni yenye kufuatia rasilimali. Shughuli za faida zinafuatia ile asili ya rasilimali. Kwa ajili hiyo unatakiwa kutolea zakaah ile faida pamoja na rasilimali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (29)
  • Imechapishwa: 18/02/2022