Zakaah kwenda kwa wapambanaji jihaad nje ya nchi

327 – Shaykh wetu aliulizwa tarehe 9/6/1409 kuhusu kutoa zakaah kwa ajili ya Mujaahiduun wa Afghanistan:

Jibu: Msingi wa zakaah ni kuitoa ndani ya nchi aliko. Lakini ikiwa kuna haja ya kuiagiza basi hapana vibaya.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 117
  • Imechapishwa: 29/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´