Zakaah kwa mwajiriwa anayefanya kazi dhalilifu

333 – Nilimuuliza kuhusu mtu mwenye nguvu ambaye hakupata riziki isipokuwa kazi ya udhalilifu. Je, anapewa kutoka katika zakaah?

Jibu: Ndio, kwani kama angelichinjwa asingefanya kazi ya kusafisha taka, basi apewe kutoka katika zakaah.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 117
  • Imechapishwa: 31/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´