Swali: Kuna mtu yuko na ardhi na nia yake inasita na hajui aiuze, aijenge, aikodishe au ataishi juu yake. Je, aitolee zakaah baada ya kutimiza mwaka?
Jibu: Ardhi hii haitolewi zakaah muda wa kuwa hana uamuzi madhubuti juu ya kuifanyia biashara. Kwa hivyo hatoitolea zakaah maadamu ni mwenye mashaka. Hata angelikuwa na mashaka ya 1% basi asingeitolea zakaah.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/232)
- Imechapishwa: 17/05/2026
Swali: Kuna mtu yuko na ardhi na nia yake inasita na hajui aiuze, aijenge, aikodishe au ataishi juu yake. Je, aitolee zakaah baada ya kutimiza mwaka?
Jibu: Ardhi hii haitolewi zakaah muda wa kuwa hana uamuzi madhubuti juu ya kuifanyia biashara. Kwa hivyo hatoitolea zakaah maadamu ni mwenye mashaka. Hata angelikuwa na mashaka ya 1% basi asingeitolea zakaah.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/232)
Imechapishwa: 17/05/2026
https://firqatunnajia.com/zakaah-juu-ya-ardhi-ambayo-mtu-anasita-kati-ya-kuiuza-au-kuifanya-biashara/