Swali: Ni ipi hukumu ya kula na kunywa chooni?

Jibu: Chooni ni sehemu ya kukidhi haja peke yake. Mtu hatakiwi kubaki huko isipokuwa kwa kiasi cha kukidhi haja peke yake. Kula na mambo mengine yanapelekea mtu kubaki huko kwa muda mrefu, kwa ajili hiyo haitakiwi kufanya hivo.

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (11/110)
  • Imechapishwa: 17/05/2026