Swali: Ni ipi hukumu ya kuingia chooni kichwa wazi?
Jibu: Hapana vibaya yoyote kuingia chooni kichwa wazi. Hata hivyo wanazuoni wamependeza kufunika kichwa wakati wa kuingia chooni.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (11/110)
- Imechapishwa: 17/05/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kuingia chooni kichwa wazi?
Jibu: Hapana vibaya yoyote kuingia chooni kichwa wazi. Hata hivyo wanazuoni wamependeza kufunika kichwa wakati wa kuingia chooni.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (11/110)
Imechapishwa: 17/05/2026
https://firqatunnajia.com/kuingia-chooni-kichwa-wazi/