Swali: Ikiwa mwanamke anapenda kubaki nyumbani kwake na anaona ni bora kubaki humo na hatoki hata kwenda Msikitini. Na mwanamke mwingine ambaye anatoka kwenda kutafuta elimu na kwenda Msikitini. Yupi bora kati ya hawa wawili?
Jibu: Mwanamke ambaye anapenda kubaki kwake na kusoma nyumbani kwake ndio bora. Kwa kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anasema:
“Msiwazuie vijakazi wa Allaah kwenda kwenye Misikiti ya Allaah. Na nyumba zao ni bora kwao.”[1]
[1] Ahmad (2/76) na Abu Daawuud (567). Imesahihishwa na Ibn Khuzaymah (1684) na al-Haakim (755).
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=557
- Imechapishwa: 01/08/2024
Swali: Ikiwa mwanamke anapenda kubaki nyumbani kwake na anaona ni bora kubaki humo na hatoki hata kwenda Msikitini. Na mwanamke mwingine ambaye anatoka kwenda kutafuta elimu na kwenda Msikitini. Yupi bora kati ya hawa wawili?
Jibu: Mwanamke ambaye anapenda kubaki kwake na kusoma nyumbani kwake ndio bora. Kwa kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anasema:
“Msiwazuie vijakazi wa Allaah kwenda kwenye Misikiti ya Allaah. Na nyumba zao ni bora kwao.”[1]
[1] Ahmad (2/76) na Abu Daawuud (567). Imesahihishwa na Ibn Khuzaymah (1684) na al-Haakim (755).
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=557
Imechapishwa: 01/08/2024
https://firqatunnajia.com/yupi-bora-kati-ya-swalah-ya-wanawake-hawa-wawili/