Swali: Je, kuna tofauti kati ya yule ambaye anahalalisha dhambi kubwa na yule mwenye kuifanya?
Jibu: Yule mwenye kuihalalisha dhambi kubwa anakufuru. Lakini yule asiyeihalalisha hakufuru, lakini adhabu yake itakuwa nzito.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
- Imechapishwa: 02/10/2020
Swali: Je, kuna tofauti kati ya yule ambaye anahalalisha dhambi kubwa na yule mwenye kuifanya?
Jibu: Yule mwenye kuihalalisha dhambi kubwa anakufuru. Lakini yule asiyeihalalisha hakufuru, lakini adhabu yake itakuwa nzito.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
Imechapishwa: 02/10/2020
https://firqatunnajia.com/yule-mwenye-kuihalalisha-dhambi-kubwa-anakufuru/