Swali: Je, Qadariyyah, Mu´tazilah na Murji-ah yamekwishapotea au bado yapo mpaka hii leo?
Jibu: Hapana, hayajapotea. Yapo. Qadariyyah, Murji-ah, Jahmiyyah, Mu´tazilah na Khawaarij wote wapo. Khawaari wapo hii leo kwa mfano Marocco na Oman. Ibaadhiyyah ni Khawaarij. Shiy´ah wako tabaka mbalimbali na wamejaa kila mahali. Jahmiyyah wapo hii leo. Wanaoamini Wahdat-ul-Wujuud wapo hii leo. Wote hawa wapo. Madhehebu yote haya yapo. Yamesimama kidete kabisa. Yana watetezi, majibu na tungo.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (07) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/434/434.mp3
- Imechapishwa: 21/12/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)