Witr inaweza kulipwa baada ya swalah ya Fajr?

Swali: Anayepitwa na Witr usiku anaweza kuilipa baada ya al-Fajr moja kwa moja?

Jibu: Hapana. Ailipe baada ya jua kusimama.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14301
  • Imechapishwa: 17/11/2014