Kwa wale wanaotaka kupokea makala mbalimbali kuhusiana na dini yao kwa mujibu wa Qur-aan na Sunnah kwa ufahamu wa Salaf, basi mnakaribishwa kujaza taarifa zote hapo juu kisha ututumie. Tanbihi! Usisahau kuandika namba zako. Baada ya kutuma maombi ndani ya siku mbili mpaka tano utaungwa. Zikipita siku nne hujaungwa basi chunguza tena vizuri kama umeandika namba kisawasawa. Wanawake wana gruops zao na wanaume wana gruops zao. Kwa hiyo mnakaribishwa nyote kina baba na kina mama.

    Ndugu zenu s; Firqatunnajia.com