Swali: Kwa yule ambaye ana moja katika zile sifa nne za unafiki inafaa kusema juu yake:

“Wewe una moja katika sifa za unafiki”?

Jibu: Ndio. Ikiwa anasema uongo ni sawa kusema kumwambia kuwa ni sifa ya unafiki. Nayo si nyingine ni uongo na mfano wake. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisema hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (06) http://alfawzan.af.org.sa/node/2049
  • Imechapishwa: 10/12/2016