”Wewe kwangu ni haramu”

Swali: Mwanaume akimwambia mkewe kwamba ni haramu juu yake hali ya kunuia talaka – Je, talaka imepita?

Jibu: Hapana, hukumu yake ni sawa na kumfananisha na mke.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24561/حكم-من-قال-لزوجته-هي-عليه-حرام-بنية-الطلاق
  • Imechapishwa: 01/11/2024