Watu wasiokuwa wa Ahl-ul-Bid´ah katika miji ya makafiri

Swali: Ni namna gani tunatakiwa kutangamana na wale wasiokuwa na elimu katika Ahl-ul-Bid´ah katika miji ya makafiri?

Jibu: Wafunzeni Sunnah na muwakataze Bid´ah. Wasipokubali basi wakateni na wala msishirikiane nao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (96)
  • Imechapishwa: 30/08/2020