Swali 679: Nilimuuliza Shaykh kuhusu maneno ya baadhi ya watu wa kawaida:
يهدينا ويهديكم الله
”Allaah atuongoze na akuongozeni.”
wakati wa kupiga chafya?
Jibu: Hapana, na maana yake ni kama kusema:
يرحمني ويرحمكم الله
”Allaah anirehemu na akurehemuni.”
na akakaripia jambo hilo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 243
- Imechapishwa: 28/06/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 679: Nilimuuliza Shaykh kuhusu maneno ya baadhi ya watu wa kawaida:
يهدينا ويهديكم الله
”Allaah atuongoze na akuongozeni.”
wakati wa kupiga chafya?
Jibu: Hapana, na maana yake ni kama kusema:
يرحمني ويرحمكم الله
”Allaah anirehemu na akurehemuni.”
na akakaripia jambo hilo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 243
Imechapishwa: 28/06/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/watu-wa-kawaida-wanavosema-wakati-wa-kuchemua/