Swali 681: Baadhi ya watu wanamkemea mtu asiyechinja kwa ajili ya mgeni. Je, ni lazima?
Jibu: Inategemea hali na uwezo wa mwenye nyumba. Isitoshe nafasi ya mgeni hutofautiana kwa mujibu wa hali.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 244
Swali 681: Baadhi ya watu wanamkemea mtu asiyechinja kwa ajili ya mgeni. Je, ni lazima?
Jibu: Inategemea hali na uwezo wa mwenye nyumba. Isitoshe nafasi ya mgeni hutofautiana kwa mujibu wa hali.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 244
https://firqatunnajia.com/ni-lazima-kuchinja-kwa-ajili-ya-kumkirimu-mgeni/