Swali: Je, inajuzu kuwafuturisha wafungaji ndani ya misikiti?
Jibu: Ikiwa kitendo hichi kinaichafua misikiti na kunabaki mavyakula, haijuzu. Ama ikiwa kufanya hivi haipelekei kuidhuru misikiti wala kubaki mavyakula na [baada ya hapo] ikasafishwa, ni sawa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (42) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-22.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Je, inajuzu kuwafuturisha wafungaji ndani ya misikiti?
Jibu: Ikiwa kitendo hichi kinaichafua misikiti na kunabaki mavyakula, haijuzu. Ama ikiwa kufanya hivi haipelekei kuidhuru misikiti wala kubaki mavyakula na [baada ya hapo] ikasafishwa, ni sawa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (42) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-22.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/watu-kula-futari-msikitini/