Swali: Inafaa kwa mwanamke kuwapeleka watoto wake wadogo sana msikitini ambao pengine wakawaudhi wengine?
Jibu: Asiwapeleke msikitini. Wanaweza kuwaudhi waswaliji na kufanya vibaya msikitini.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
- Imechapishwa: 08/11/2020
Swali: Inafaa kwa mwanamke kuwapeleka watoto wake wadogo sana msikitini ambao pengine wakawaudhi wengine?
Jibu: Asiwapeleke msikitini. Wanaweza kuwaudhi waswaliji na kufanya vibaya msikitini.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
Imechapishwa: 08/11/2020
https://firqatunnajia.com/watoto-wapiga-zogo-msikitini/