Swali: Mimi ni mwalimu wa Qur-aan. Je, wanafunzi wanawajibika kutawadha kabla ya kugusa msahafu au katika kipindi cha Qur-aan?
Jibu: Ndiyo, wanafunzi wanapaswa kutawadha ili kugusa msahafu. Haya ndio maoni ya kikosi kikubwa cha wanazuoni, wakiwemo maimamu wanne na wengineo. Imekuja katika Hadiyth ya ´Amr bin Hazm kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwaandikia watu wa Yemen:
“Asiiguse Qur-aan isipokuwa aliye twahara.”
Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) walitoa fatwa kwa hilo na wakaamrisha kutawadha kwa ajili ya kugusa Qur-aan. Kwa hiyo ikiwa wanafunzi wanataka kugusa msahafu ni lazima watawadhe.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3229/حكم-مس-المصحف-بدون-وضوء
- Imechapishwa: 02/08/2026
Swali: Mimi ni mwalimu wa Qur-aan. Je, wanafunzi wanawajibika kutawadha kabla ya kugusa msahafu au katika kipindi cha Qur-aan?
Jibu: Ndiyo, wanafunzi wanapaswa kutawadha ili kugusa msahafu. Haya ndio maoni ya kikosi kikubwa cha wanazuoni, wakiwemo maimamu wanne na wengineo. Imekuja katika Hadiyth ya ´Amr bin Hazm kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwaandikia watu wa Yemen:
“Asiiguse Qur-aan isipokuwa aliye twahara.”
Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) walitoa fatwa kwa hilo na wakaamrisha kutawadha kwa ajili ya kugusa Qur-aan. Kwa hiyo ikiwa wanafunzi wanataka kugusa msahafu ni lazima watawadhe.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3229/حكم-مس-المصحف-بدون-وضوء
Imechapishwa: 02/08/2026
https://firqatunnajia.com/watoto-wadogo-wasiguse-qur-aan-kama-hawana-wudhuu/