Swali: Kuna baadhi ya misikiti wanaswali na kati ya kila mswaliji kuna uwazi wa kiasi cha mita moja au mbili wakidai kwamba kufanya hivo ni kujizuia na maradhi [maambukizi ya corona]. Ni ipi hukumu ya hilo?
Jibu: Swalah haisihi. Wanazingatiwa ameswali mmoja mmoja kama ambavo anaswali mtu kivyake.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh al-Muwatta’ (19)
- Imechapishwa: 07/04/2020
Swali: Kuna baadhi ya misikiti wanaswali na kati ya kila mswaliji kuna uwazi wa kiasi cha mita moja au mbili wakidai kwamba kufanya hivo ni kujizuia na maradhi [maambukizi ya corona]. Ni ipi hukumu ya hilo?
Jibu: Swalah haisihi. Wanazingatiwa ameswali mmoja mmoja kama ambavo anaswali mtu kivyake.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh al-Muwatta’ (19)
Imechapishwa: 07/04/2020
https://firqatunnajia.com/waswaliji-kila-mmoja-anaswali-mita-moja-mbali-na-mwenzie-kwa-ajili-ya-kuepuka-maambukizi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket