Swali: Bwana mmoja aliniuliza ni wapi nimenunua kitabu changu msikitini. Je, swali lake linahesabika ni katika yale matangazo yaliyokatazwa ndani ya msikiti?
Jibu: Hapana, haya si katika matangazo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
- Imechapishwa: 11/06/2023