Swali: Nimeruzukiwa mtoto, unaninasihi nimwite vipi?
Jibu: Mpe jina mojawapo la wanawake wa Salaf-us-Swaalih (wema waliotangulia); mwite Khadiyjah, Ruqayyah, Faatwimah, ´Aaishah, Zaynab. Majina ni mengi.
- Muhusika: ´Allaamah Swaalih bin Muhammad al-Luhaydaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alharamain.gov.sa/index.cfm?do=cms.scholarsubject&schid=30981&subjid=31339&audiotype=lectures&browseby=speaker
- Imechapishwa: 29/12/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
al-Fawzaan kuhusu jina la Swaalih na Khaalid
Swali: Je, jina la Khaalid au Swaalih ndani yake kuna kujisifu? Jibu: Hapana, hakuna kujisifu. Swaalih ni jina la Nabii na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ametuamrisha kujiita kwa majina ya Manabii.
In "Uchaguzi wa majina ya watoto"

Ni lazima kutaja majina ya wazushi
https://www.youtube.com/watch?v=bYv9MQXs_Rc Swali: Kutaja majina ya waendaji kinyume ya Kitabu na Sunnah ni katika manhaj ya Salaf ili waislamu watahadhari nao, je kufanya hivi ni katika manhaj ya Salaf? Jibu: Ikiwa watu wanadanganyika nao na wala hawawajui, na wewe umehakikisha ya kwamba wako na uendaji wa kinyume (Bid´ah). Ni lazima kutaja…
In "´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan"
Ni lazima kutaja majina ya Ahl-ul-Bid´ah
Swali: Kutaja majina ya waendaji kinyume ya Kitabu na Sunnah ni katika Manhaj ya Salaf ili Waislamu watahadhari nao, je kufanya hivi ni katika Manhaj ya Salaf? Jibu: Ikiwa watu wanadanganyika nao na wala hawawajui, na wewe umehakikisha ya kwamba wako na uendaji wa kinyume (Bid´ah). Ni lazima kutaja majina…
In "1. Mfumo wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah"